MATUKIO KATIKA PICHA BARAZA LA MADIWANI NZEGA DC.

Na Odace  Rwimo

Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Nzega Eng.Modest Apolinary akizungumza jambo katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Halmashauri.

Afisa Utumishi halmashauri ya  Wilaya ya Nzega Julius Willium Kimaro wapili kutoka kushoto akiwa na Maafisa Tarafa za Bukene na Mwakulundi wakifuatilia mjdala katika kikao Cha Baraza la Madiwani Kilichofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Halmashauri mjni Nzega.

Baadhi wa wakuu wa Idara na vitengo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Wakifuatilia kwa makini Mjadala  wa Madiwani katika kikao Baraza la madiwani Robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 katika ukumbi wa hamsahauri mjini Nzega.
waheshimiwa madiwani wakiwa kwenye kikao cha baraza la madiwani robo ya Nne ya Mwaka wa fedha 2022/2023 wakijadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya wilaya Nzega ikiwa ni pamoja na kuona namna ya kuongeza mapato.
mwenyeki wa halmashauri ya wilaya ya Nzega Henerico Kanoga akizungumza na wajumbe wa baraza la Madiwani juu ya kufanya kazi kwa weredi sanjari na kila mtumishi kutimiza majukumu yake awapo kazini ili kuunga mkono jitihada za Dk.Samia suluhu Hassan .
katibu wa CCM Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora Adia Mamu akitoa salama za chama pamoja na maelekezo juu ya utendaji kazi hhasa katika kusimamia miraddi ya maendeleo wa uzalendo.