HABARI PICHA WATUMISHI WAPYA HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA WAKIPATA MAFUNZO JUU YA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA.


PICHA YA PAMOJA WATENDAJI WA VIJIJI WAPYA NA MAAFISA UTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA BAADA YA KUPATIWA MAFUNZO YA MAADILI NA KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA.


PICHA YA BAADHI YA MAAFISA UTUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA WAKITOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA VIJIJI KWA AJIRA MPYA HAWAPO PICHANI.


AFISA UTUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA JULIUS KIMARO AKITOA USHAURI JUU SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA UTUMISHI WA UMMA KWA WAJIRIWA WAPYA WA UTENDAJI WA VIJIJI HWAPO PICHANI.

WATENDAJI WA VIJIJI WAPYA WAKIWA KWENYE MAFUNZO YA UTUMISHI WA UMMA YALIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA UALIMU NDALA WILAYANI NZEGA.

WATENDAJI WA VIJIJI WA KIKE WAKIWA NA MAAFISA UTUMISHI BAADA YA KUPATA MAFUNZO YA UTUMISHI WA UMMA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZIZONATAKIWA KUFUATA UWAPO KAZINI NA KWENYE JAMII.

AFISA UTUMISHI LEONARD MAGESA AKITOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA VIJIJI HAWAPO PICHANI JUU UTUMISHI BORA.